Alex Haley
Mandhari
Alex Haley | |
Amezaliwa | 11 Agosti 1921 New York, Marekani |
---|---|
Amekufa | 10 Februari 1992 Seattle, Marekani |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Alex Palmer Haley (11 Agosti 1921 – 10 Februari 1992) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa riwaya yake Roots ("Mizizi") inayosimulia historia ya Kunta Kinte na vizazi vya Waafrika waliofungwa utumwani na kupelekwa Marekani.
Mwaka wa 1977, alipokea tuzo maalumu ya Pulitzer upande wa bunilizi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alex Haley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |