15 Aprili
Mandhari
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Aprili ni siku ya 105 ya mwaka (ya 106 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 260.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 769 - Mtaguso wa Laterano unalaani maamuzi ya mtaguso wa Hieria kuhusu heshima kwa picha takatifu
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1452 - Leonardo da Vinci, mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia
- 1707 - Leonhard Euler, mwanahisabati kutoka Uswisi
- 1797 - Mtakatifu Mikaeli Garicoits, padri kutoka Ufaransa
- 1874 - Johannes Stark, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919
- 1896 - Nikolay Semyonov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 1907 - Nikolaas Tinbergen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1938 - Claudia Cardinale, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 1943 - Robert Lefkowitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
- 1961 - Carol Greider, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
- 1966 - Samantha Fox
- 1982 - Seth Rogen, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 1984 - Valery Nahayo, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 1990 - Emma Watson
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 69 - Otho, Kaisari wa Dola la Roma
- 1865 - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1889 - Mtakatifu Damiano wa Molokai, padri, mtawa na mmisionari kutoka Ubelgiji
- 1980 - Jean-Paul Sartre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1964
- 1982 - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Theodori na Pausilipi, Kresenti wa Myra, Maroni mfiadini, Abondi wa Roma, Paternus, Ortari, Kaisari wa Bus, Damiani wa Molokai n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |