9 Aprili
Mandhari
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Aprili ni siku ya 99 ya mwaka (ya 100 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 266.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1555 - Uchaguzi wa Papa Marcello II
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1458 - Mtakatifu Batista Varano, bikira Mfransisko wa Italia
- 1918 - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
- 1987 - Blaise Matuidi, mchezaji mpira wa Ufaransa
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 715 - Papa Konstantin
- 1024 - Papa Benedikto VIII
- 1557 - Mikael Agricola, mwanateolojia Mfini
- 1945 - Dietrich Bonhoeffer, mwanateolojia nchini Ujerumani, aliuawa na Chama cha Nazi
- 1959 - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 1988 - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2021
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida, Vatrude, Ugo wa Rouen, Kasilda, Gaukeri n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |