1922
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| ►
◄◄ |
◄ |
1918 |
1919 |
1920 |
1921 |
1922
| 1923
| 1924
| 1925
| 1926
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1922 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 6 Februari - Uchaguzi wa Papa Pius XI
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 9 Januari - Har Khorana, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 28 Januari - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 20 Machi - Carl Reiner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Aprili - Julius Nyerere, Rais wa kwanza, "Mwalimu" na "Baba wa Taifa" wa Tanzania
- 22 Aprili - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1 Mei - Tad Mosel, mwandishi kutoka Marekani
- 27 Mei - Christopher Lee, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 13 Juni - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
- 15 Julai - Leon Lederman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 19 Julai - George McGovern, mwanasiasa kutoka Marekani
- 9 Septemba - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 22 Septemba - Chen Ning Yang, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957
- 19 Oktoba - Elsa Joubert, mwandishi wa Afrika Kusini
- 14 Novemba - Boutros Boutros-Ghali, mwanasiasa wa Misri, na Katibu Mkuu wa UM (1992-1996)
- 16 Novemba - Jose Saramago, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1998
- 17 Novemba - Stanley Cohen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1986
- 23 Novemba - Joan Fuster, mwandishi wa Kikatalani kutoka Hispania
- 14 Desemba - Nikolai Basov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
bila tarehe
- Abdullah bin Faisal Al Saud, mwana wa Mfalme wa Saudia
Waliofariki
hariri- 22 Januari - Papa Benedikt XV
- 22 Januari - Fredrik Bajer, mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 18 Mei - Alphonse Laveran, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907
- 2 Agosti - Alexander Graham Bell, mgunduzi wa mawasiliano ya simu)
- 18 Novemba - Marcel Proust, mwandishi kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: