9 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Januari ni siku ya tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 356 (357 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1522 - Uchaguzi wa Papa Adrian VI
- 1960 - Ujenzi wa Lambo la Aswan nchini Misri unaanza
Waliozaliwa
hariri- 1554 - Papa Gregori XV
- 1624 - Meisho, malkia mkuu wa Japani (1629-1643)
- 1902 - Mtakatifu Josemaría Escrivá, padri kutoka Hispania
- 1913 - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-1974)
- 1919 - William Meredith, mshairi kutoka Marekani
- 1920 - Clive Dunn, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1922 - Har Khorana, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 1925 - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1941 - Joan Baez, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1961 - Emily Balch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 1998 - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marselino wa Ancona, Adriani wa Canterbury, Filano wa Mt. Andrea, Eustrasi Mtendamiujiza, Honorati wa Buzancais, Agata Yi, Teresa Kim n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |