22 Septemba
tarehe
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Septemba ni siku ya 265 ya mwaka (ya 266 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 100.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1901 - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 1922 - Chen Ning Yang, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957
- 1946 - John Woo, muongozaji wa filamu kutoka China
- 1946 - King Sunny Adé, mwanamuziki wa Nigeria
- 1979 - Jericho Rosales, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
- 1993 - Carlos Knight, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 530 - Mtakatifu Papa Felix IV
- 1241 - Snorri Sturluson, mshairi, mwanahistoria na mwanasiasa nchini Iceland
- 1770 - Mtakatifu Ignas wa Santhià, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
- 1774 - Papa Klementi XIV
- 1839 - Mtakatifu Paulo Chong Hasang, mfiadini wa Korea
- 1956 - Frederick Soddy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Emerita wa Roma, Morisi na wenzake, Basila wa Roma, Silvano wa Levroux, Fiorensi wa Poitiers, Laudo, Salaberga, Emeramo, Ignas wa Santhia, Paulo Chong Hasang, Augustino Yu Chin-gil n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 23 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |