Willis Lamb
Mandhari
Willis Eugene Lamb (12 Julai 1913 – 15 Mei 2008) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1955, pamoja na Polykarp Kusch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Willis Lamb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |