Suva
Mandhari
Suva ni mji mkuu wa Fiji nchi ya visiwani katika Pasifiki. Iko kwenye kisiwa cha Viti Levu.
Imekuwa mji mkuu wa koloni ya Fiji tangu 1882 badala ya Levuka kwenye kisiwa cha Ovalau.\
1996 mji ulikuwa na wakazi 77,366 na pamoja na rundiko la mji ni 167,975.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|