Nenda kwa yaliyomo

Papa Urban VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Urbano VI.

Papa Urban VI (takriban 131815 Oktoba 1389) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/18 Aprili 1378 hadi kifo chake[1]. Alitokea Napoli, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Prignano.

Alimfuata Papa Gregori XI akafuatwa na Papa Bonifasi IX.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.