Papa Gregori X
Mandhari
Papa Gregori X (takriban 1210 – 10 Januari 1276) alikuwa Papa kuanzia 1 Septemba 1271/27 Machi 1272 hadi kifo chake[1]. Alitokea Piacenza, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Uchaguzi wake ulichukua muda mrefu kuliko zote (miaka mitatu).
Alimfuata Papa Klementi IV akafuatwa na Papa Inosenti V.
Tarehe 8 Julai 1673 Papa Klementi XI alimtangaza mwenye heri.
Sikukuu yake hadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |