Mkoa wa Kütahya
Mandhari
Mkoa wa Kütahya | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kütahya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 11,889 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 684,082 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 43 |
Kodi ya eneo: | 0274 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kutahya.gov.tr/ |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kütahya |
Kütahya ni jina kutaja moja kati ya mikoa ya Uturuki. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,889. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 684,082 (makisio ya mwaka wa 2006). Mnamo mwaka wa 1990, Kütahya ilikuwa na wakazi wapatao 578,020.
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Kütahya umeganyika katika wilya 13 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Altıntaş
- Aslanapa
- Çavdarhisar
- Domaniç
- Dumlupınar
- Emet
- Gediz
- Hisarcık
- Kütahya
- Pazarlar
- Şaphane
- Simav
- Tavşanlı
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Governorship of Kütahya Official Web Site Archived 5 Machi 2011 at the Wayback Machine.
- Pictures of the capital of Kütahya
- Pictures of the Zeus temple and other sights at Aizanoi
- Pictures of Kütahya Archived 4 Februari 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kütahya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |