Mkoa wa Antalya
Mandhari
Mkoa wa Antalya | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Antalya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediteranea |
Eneo: | 20,723 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2,070,663 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 07 |
Kodi ya eneo: | 0242 |
Tovuti ya Gavana | http://www.antalya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/antalya |
Mkoa wa Antalya ni moja kati mikoa 81 ya Uturuki. Mkoa upo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya Mediteranea, kati ya Milima ya Taurus na Bahari ya Mediteranea. Mji mkuu wake ni Antalya wenye idadi ya wakazi takriban 714,000.
Wilaya na miji
[hariri | hariri chanzo]- Wilaya za pwani ni; Antalya, Gazipaşa, Alanya, Manavgat, Serik, Kemer, Kumluca, Finike, Kale na Kaş.
- Wilaya za barani na nyanda za juu kwenye Milima ya Taurus, kwenye makadirio ya mapolomoko kiasi cha 900–1000 m kutoka juu ya usawa wa bahari. Hiyo ni; Gündoğmuş, Akseki, İbradı, Korkuteli na Elmalı.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Antalya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |