Mji Haramu
Mandhari
Mji Haramu ni mtaa ndani ya mji wa Beijing (China) ni eneo la nyumba za makaisari wa China. Familia za kifalme za Ming na Qing ziliishi humo hadi mapinduzi ya 1911.
Watu raia walikataliwa kuingia kabla ya mapinduzi ya China hivyo jina la "mji haramu" lilipatikana. Nje ya ukuta wa mji haramu uko uwanja wa Tiananmen.
Eneo lake ni 720,000 m² kuna majengo 800 yenye vyumba 8,886.
Mji Haramu umeandikishwa katika orodha la UNESCO la Urithi wa Dunia.
Picha za Mji Haramu wa Beijing
[hariri | hariri chanzo]-
Jumba la Kaisari wa China
-
Ngazi mbele ya hekalu katika mji haramu
-
Mnara wa kaskazini
-
Watalii hutembelea makumbusho
-
Majengo ya makumbusho wa jumba la Kaisari
-
Dari ya jengo la bustani ya mji haramu
-
Majoka wa kifalme
-
Kiti cha Kaisari