Nenda kwa yaliyomo

Johnny Depp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johnny Depp

Johnny Depp, akiwa kwenye 2020 Berlin International Film Festival
Amezaliwa John Christopher Depp II
9 Juni 1963 (1963-06-09) (umri 61)
Owensboro, Kentucky
Kazi yake mwigizaji, mwandishiskrini, mwongozaji, mtayarishaji, mwanamuziki
Miaka ya kazi 1984 -
Ndoa
  • Lori Allison (m. 1983–1985) «start: (1983)–end+1: (1986)»"Marriage: Lori Allison to Johnny Depp" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Johnny_Depp)
  • Amber Heard (m. 2015–2017) «start: (2015)–end+1: (2018)»"Marriage: Amber Heard to Johnny Depp" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Johnny_Depp)
Watoto 2

Johnny Depp (amezaliwa tar. 9 Juni 1963[1] mjini Owensboro, Kentucky) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza kama Jack Sparrow katika mfululizo wa filamu ya Pirates of the Caribbean, Raoul Duke katika filamu ya Fear and Loathing in Las Vegas, na Sam kwenye filamu ya Benny & Joon .

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Filamu alizocheza

[hariri | hariri chanzo]
  • Nightmare on Elm Street (1984)
  • Private Resort (1985)
  • Cry-Baby (1990)
  • Edward Scissorhands (1990)
  • Benny and Joon (1993)
  • What's Eating Gilbert Grape? (1993)
  • Ed Wood (1994)
  • Don Juan De Marco (1994)
  • Dead Man (1995)
  • Donnie Brasco (1996)
  • Fear and Loathing in Las Vegas (1998)
  • Sleepy Hollow (1999)
  • Chocolat (2000)
  • Blow (2000)
  • From Hell (2001)
  • Once Upon a Time in Mexico (2003)
  • Pirates of the Caribbean: Curse of the Black Pearl (2003)
  • Secret Window (2004)
  • Finding Neverland (2004)
  • The Libertine (2004)
  • Charlie and the Chocolate Factory (2005)
  • Corpse Bride (voice, 2005)
  • Pirates of the Caribbean 2: Dead Man's Chest (2006)
  • Pirates of the Caribbean 3: At World's End (2007)
  • Sweeney Todd the Demon Barber of Fleet Street (2008)
  • Public Enemies (2009)
  • The Imaginarium of Doctor Parnassus (2009)
  • Alice in Wonderland (2010)
  • The Tourist (2010)
  • Rango (voice, 2011)
  • Pirates of the Caribbean 4: On Stranger Tides (2011)
  • The Rum Diary (2011)
  • 21 Jump Street (2012)
  • Dark Shadows (2012)
  • The Lone Ranger (2013)
  • Transcendence (2014)
  • Into the Woods (2014)
  • Mortdecai (2015)
  • Black Mass (2015)
  • Alice Through the Looking Glass (2016)
  • Pirates of the Caribbean 5: Dead Men Tell No Tales (2017)
  1. "Johnny Depp Biography". Hollywood Movies, About.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johnny Depp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.