Georges Pompidou
Mandhari

Georges Jean Raymond Pompidou (* 5 Julai 1911 – † 2 Aprili 1974) alikuwa mwanasiasa aliyefikia kuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa kuanzia 14 Aprili 1962 hadi 10 Julai 1968 na Rais wa Ufaransa kuanzia 20 Juni 1969 hadi 2 Aprili 1974.