Daraja la Wami
Mandhari
Daraja la Wami English: Wami Bridge | |
---|---|
Majina mengine | Daraja la Mandera |
Yabeba | Barabara kuu ya A14 (leni 1) |
Yavuka | Mto Wami |
Mahali | Mkoa wa Pwani, Tanzania |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Urefu | mita 88.75 |
Juu | mita 15.24 |
Kilizinduliwa | 1960 |
Anwani ya kijiografia | 6°14′48.5″S 38°23′13.5″E / 6.246806°S 38.387083°E |
Daraja la Wami ni daraja linalovuka mto Wami nchini Tanzania.
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |