Daraja la Kikwete
Mandhari
Daraja la Kikwete English: Kikwete Bridge | |
---|---|
Yabeba | Barabara kuu ya B8 (leni 2) |
Yavuka | Mto Malagarasi |
Mahali | Uvinza, Mkoa wa Kigoma |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Mbunifu wa mradi | Hanil Engineering and Construction Co. Ltd (Korea Kusini) |
Urefu | mita 275 |
Ujenzi ulianza | Disemba 2010 |
Gharama za ujenzi | US$ 56 milioni |
Badala ya | Daraja la Malagarasi |
Anwani ya kijiografia | 5°6′24.30″S 30°22′57.34″E / 5.1067500°S 30.3825944°E |
Daraja la Kikwete ni daraja la kuvuka Mto Malagarasi karibu na Uvinza kwenye Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania lililofunguliwa rasmi na rais Jakaya Kikwete tarehe 16 Septemba 2015.
Daraja hilo lilijengwa na kampuni za Korea Kusini M/S Hanil Engineering and Construction Company Ltd ilhali asilimia 41 za gharama za ujenzi (jumla USD milioni 56) zililipwa na serikali ya Korea Kusini.
Daraja lina urefu wa mita 275. Shabaha ya kujengwa ilikuwa pamoja na kurahisisha usafiri wa kwenda Kigoma.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- River Malagarasi bridge contract signed, Daily News (Tanzania), 21 Oktob 2010, kupitia web.archive.org, iliangaliwa Februari 2020
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |