Charles Babbage
Mandhari
Charles Babbage (26 Desemba 1791 – 18 Oktoba 1871) alikuwa mwanahisabati, mwanafalsafa, mwanzilishi na mhandisi wa mitambo ya Kompyuta.
Mawazo yake yanachukuliwa na wengine kuwa "baba wa kompyuta" kwa kuwa alitengeneza mashine ambayo hadi sasa wanasayansi wengine wanatohoa kutoka kwake inayoitwa "Analytical Mashine". Ni kama kompyuta ya kwanza: mawazo yote muhimu ya kisasa ya kompyuta yanapatikana katika hiyo injini ya uchambuzi wa Babbage.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Babbage kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |