28 Agosti
Mandhari
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Agosti ni siku ya 240 ya mwaka (ya 241 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 125.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 475 - Julius Nepos, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi anaondoshwa madarakani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1025 - Go-Reizei, mfalme mkuu wa Japani (1045-1068)
- 1749 - Johann Wolfgang von Goethe, mwandishi, mwanafalsafa na mwanasiasa kutoka Ujerumani
- 1774 - Mtakatifu Elizabeth Ann Seton, mjane na mwanzilishi wa shirika la kwanza la kitawa nchini Marekani
- 1878 - George Whipple, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1934
- 1899 - Chang Myon, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
- 1919 - Godfrey Hounsfield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 1942 - Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola
- 1952 - Rita Dove, mshairi kutoka Marekani
- 1969 - Jack Black, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 430 - Mtakatifu Aurelius Augustinus, askofu na mwalimu wa Kanisa nchini Aljeria
- 1784 - Mtakatifu Junipero Serra, O.F.M., padre na mmisionari kutoka Hispania
- 2006 - Melvin Schwartz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 2012 - William Pascal Kikoti, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Augustino wa Hippo, Ermes wa Roma, Pelaji wa Konstanz, Juliani wa Brioude, Aleksanda wa Konstantinopoli, Restitutus wa Karthago, Visini, Viviani wa Saintes, Musa Mwafrika, Florentina wa Cartagena, Edmundi Arrowsmith, Joakima wa Vedruna, Junipero Serra n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |