Wasoga
Mandhari
Wasoga ni kabila la Kibantu linaloishi hasa mashariki mwa Uganda (wilaya ya Kamuli, wilaya ya Iganga, wilaya ya Bugiri, wilaya ya Mayuge, wilaya ya Jinja, wilaya ya Luuka, wilaya ya Kaliro, wilaya ya Busiki).
Lugha yao ni Kisoga (wao wanasema Lusoga) ambayo inazungumzwa na watu 3,000,000 hivi[1].
Leo wengi wao ni Wakristo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The National Population and Housing Census 2014 – Main Report" (PDF). Uganda Bureau of Statistics. 2016. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Fallers, Margaret Chave (1960) The Eastern Lacustrine Bantu (Ganda and Soga). Ethnographic survey of Africa: East central Africa, Vol 11. London: International African Institute.
- Cohen, David William (1970). A survey of interlacustrine chronology. The Journal of African History, 1970, 11, 2, 177-202.
- Cohen, David William (1986). Towards a reconstructed past : Historical texts from Busoga, Uganda. (Fontes historiae africanae). Oxford: Oxford University Press.
- Fallers, Lloyd A. (1965) Bantu Bureaucracy - A Century of Political evolution among the Basoga of Uganda. Phoenix Books, The University of Chicago.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |