Walogo
Mandhari
Walogo (pia: Walogoa) ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1][2], magharibi mwa Uganda na kusini mwa Sudan Kusini. Walikimbilia huko kutoka Sudan.
Lugha yao, Kilogo au Kilogoti, ni ya kundi la lugha za Kinilo-Sahara[3].
Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 300,000.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Omasombo Tshonda, Jean (2011). Haut-Uele. Tervuren: Royal Museum for Central Africa. uk. 93. ISBN 978-2-8710-6578-4.
- ↑ Appiah, Anthony; Gates, Henry Louis, Jr., eds. (2010). "Logo". Encyclopedia of Africa. I. Oxford: Oxford University Press. p. 84. .
- ↑ "Logo". Ethnologue: Languages of the World. https://www.ethnologue.com/language/log. Retrieved 15 October 2016.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walogo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |