Unguja
Mandhari
Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi mkabala wa mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Dar es Salaam.
Unguja ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa la Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Unguja ina eneo la takriban km² 1.658 ikiwa na wakazi 869,721 (2012).
Mji mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani ya magharibi mkabala wa bara.
Kisiwani Unguja kuna mitatu kati ya mikoa 31 ya Tanzania ambayo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Usultani wa Zanzibar
- Kilwa
- Mji Mkongwe (Stone Town)
- Funguvisiwa la Zanzibar
- Kiunguja
- Orodha ya visiwa vya Tanzania
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Zanzinet: Unguja Island Ilihifadhiwa 29 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Zanzibar Yetu Ilihifadhiwa 7 Februari 2006 kwenye Wayback Machine.
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |