Nenda kwa yaliyomo

Scream/Childhood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Scream"/"Childhood”
“Scream"/"Childhood” cover
Single ya Michael Jackson and Janet Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I
Imetolewa 31 Mei 1995
Muundo CD single, cassette single, 7" single
Imerekodiwa 1993-1995
Aina Pop, R&B, hip hop, funk ("Scream")
Pop ("Childhood")
Urefu "Scream" - 4:39
"Childhood" - 4:27
Studio Epic
Mtunzi Michael Jackson, Janet Jackson
Jimmy Jam
Terry Lewis
Mtayarishaji Michael Jackson
Janet Jackson
Jimmy Jam
Terry Lewis
Certification Platinum (RIAA) [1]
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Gone Too Soon"
(1993)
"Scream"/"Childhood"
(1995)
"You Are Not Alone"
(1995)
Mwenendo wa single za Janet Jackson
"Whoops Now/What'll I Do"
(1995)
"Scream"/"Childhood"
(1995)
"Runaway"
(1995)

"Scream"/"Childhood" ni single kiongozi kutoka katika albamu ya msanii Michael Jackson ya HIStory: Past, Present and Future, Book I—ambapo "Scream" ni wimbo wa kwanza na "Childhood" ni wimbo wa kumi. "Scream" ni wimbo wa upande A katika toleo na "Childhood" ipo kwenye upande wa B. Ya zamani aliimba pamoja akiwa na ndugu yake Janet Jackson, ambapo mulemule ikaja kuwa kama kipande cha kujitegemea badala ya kuimba kwa ushirika.

Chart (1995) Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart 2
Austrian Singles Chart 9
Belgian Ultratop 50 Charts (Flanders) 5
Belgian Ultratop 40 Charts (Wallonia) 3
Dutch Singles Chart 4
French SNEP Singles Chart 4
Italian FIMI Singles Chart 1
New Zealand RIANZ Singles Chart 1 [2]
Norwegian Singles Chart 2
Swedish Singles Chart 8
Swiss Singles Chart 3[3]
UK Singles Chart 3
UK Singles Chart ("Scream" official remix) 43
U.S. Billboard Hot 100 5 [4]
U.S. Billboard Hot R&B Singles 2 [5]
U.S. Billboard Hot Dance Club Play 1 [6]
Chart (2009) Nafasi
Iliyoshika
Swiss Singles Chart 93[3]
UK Singles Chart 70[7]
  1. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Scream/childhood RIAA cert
  2. "M. Jackson & J. Jackson - Scream (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2008.
  3. 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  4. "Billboard Hot 100 - Scream". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2008. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  5. "Billboard Hot R&B/Hip Hop Songs - Scream". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2008. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  6. "Hot Dance Club Play - Scream". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2008. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  7. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Scream/Childhood kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.