Black or White
Mandhari
“Black or White” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Dangerous | |||||
Imetolewa | 11 Novemba 1991 | ||||
Muundo | 7" single 12" single CD single | ||||
Imerekodiwa | 1990 | ||||
Aina | Hard rock | ||||
Urefu | 3:22 (haririo la redio) 4:16 (toleo la albamu) | ||||
Studio | Epic | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"Black or White" ilikuwa single ya kwanza kuchukuliwa kwenye albamu ya Michael Jackson ya Dangerous, imetoka tarehe 11 Novemba katika mwaka wa 1991. Single hii ilipata kusifiwa kwamba ni wimbo bora wa rock uliouza sana kwenye miaka ya 1990. "Black or White" ni mchanganyiko wa hard rock, dance na rap.
Umetungwa, na kuandaliwa na Jackson na mashairi ya rap yameimbwa na Bill Bottrell. Wimbo huu unazungumzia hali ya kuungana kirangi.
Wimbo umeshika nafasi ya kwanza katika chati za US Billboard Hot 100 na UK Singles Chart, na vilevile imeshika chati kadhaa kwenye nchi zingine 18.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Toleo halisi
[hariri | hariri chanzo]- "Black or White" (7" Version) – 3:22
- "Black or White" (Instrumental) – 3:22
- "Smooth Criminal" – 4:10
Toleo la Visionary
[hariri | hariri chanzo]- CD side
- "Black or White" (Single version) – 3:22
- "Black or White" (Clivillés & Cole House Guitar Radio Mix) – 3:50
- DVD side
- "Black or White" (muziki wa video)
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1991) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Marekani - US Billboard Hot 100 | 1 |
Uingereza - UK Singles Chart | 1 |
Australia | 1 |
Brazil | 1 |
Ubelgiji | 1 |
Kanada | 1 |
Ufaransa | 1 |
Ireland | 1 |
Italia | 1 |
New Zealand | 1 |
Norwei | 1 |
Singapore | 1 |
Hispania | 1 |
Sweden | 1 |
Swiss Singles Chart | 1[1] |
Austria | 1 |
Ujerumani | 1 |
Denmark | 1 |
Uholanzi | 1 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Austrian Singles Chart | 17 |
Danish Singles Chart | 22 |
New Zealand Singles Chart | 16[2] |
Norwegian Singles Chart | 18 |
Swiss Singles Chart | 7[1] |
UK Singles Chart | 25[3] |
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Marekani | Platinum | 1,000,000 |
Australia | 2xPlatinum[4] | 140,000[4] |
New Zealand | Platinum[2] | 15,000[2][5] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "The Official New Zealand Music Chart". Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help); Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Julai 11, 2009. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2009.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ 4.0 4.1 "Aria 50 Top Singles Charts". Australian Recording Industry Association (ARIA). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "The Official New Zealand Music Chart: Charts Facts". Recording Industry Association of New Zealand (RIANZ). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2009.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Black or White kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |