Orodha ya masoko ya hisa barani Afrika
Mandhari
Hii ni Orodha ya masoko ya ubadilishanaji hisa barani Afrika.
Wanachama wa Shirika la Masoko ya Hisa ya Afrika (ASEA) wameonyeshwa kwa alama ya nyota *.
Afrika ina angalau Soko moja la hisa la kanda, Bourse Régionale des Valeurs Mobilières, au BRVM, lililoko mjini Abidjan, Ivory Coast. BRVM inatumia nchi za Benin, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Niger, Senegal na Togo.
Soko la hisa la zamani zaidi katika bara ni Soko la Hisa la Casablanca la Moroko lililoanzishwa mwaka wa 1929, na pia ndilo la pili kwa ukubwa Afrika baada ya Soko la Hisa la Johannesburg.
Orodha
Marejeo
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2010-01-04.