Kiyoruba
Mandhari
Kiyoruba ni lugha ya Kiniger-Kongo hasa nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayoruba. Ni lugha rasmi mojawapo ya nchi ya Nigeria. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiyoruba nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu karibu milioni 19. Pia kuna wasemaji 465,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyoruba iko katika kundi la Kidefoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiyoruba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiyoruba
- lugha ya Kiyoruba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/yor
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiyoruba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |