Kiliguria
Mandhari
Kiliguria ni mojawapo kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya inayozungumzwa na watu 450,000 hivi hasa Italia Kaskazini Magharibi, lakini pia Monako, Ufaransa na kokote walikohamia watu kutoka eneo hilo asili, k.mf. Argentina.
Kihistoria asili yake ni lugha ya Kilatini, hivyo inahesabiwa kati ya lugha za Kirumi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- ACADÉMIA LIGÙSTICA DO BRÉNNO (Kiliguria)
- Official Orthography and Alphabet (Kiliguria)
- makala za OLAC kuhusu Kiliguria Ilihifadhiwa 30 Desemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiliguria katika Glottolog
- Ethnologue
- A Compagna (Kiitalia)
- GENOVÉS.com.ar - Ligurian language & culture, literature, photos and resources to learn Ligurian Ilihifadhiwa 10 Januari 2011 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- GENOVÉS.com.ar Ilihifadhiwa 10 Januari 2011 kwenye Wayback Machine. (Kihispania)
- Kiliguria: mashairi Ilihifadhiwa 21 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Firefox Kiliguria
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiliguria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |