Hodegetria
Mandhari
Hodegetria (kutoka Kigiriki Ὁδηγήτρια, Hodēgḗtria) ni aina ya picha takatifu ikimuonyesha Theotokos (Bikira Maria) akiwa amempakata Mtoto Yesu na kuelekeza mkono wake kwake kama kwa kumtambulisha kuwa ndiye wokovu wa ulimwengu.
Picha
[hariri | hariri chanzo]Ukristo wa Mashariki
[hariri | hariri chanzo]-
Mozaiki ya msanii wa Kigiriki, Torcello, karne ya 12
-
Theotokos wa Tikhvin (1300 hivi)
-
Theotokos wa Perivleptos (1350 hivi)
-
Theotokos wa Mateso (karne ya 17)
-
Kazi ya Christodoulos Kalergis (karne ya 18)
Ukristo wa Magharibi
[hariri | hariri chanzo]-
Bikira Maria wa Msaada wa Kudumu
-
Kazi ya Duccio, 1284
-
Kazi ya Dietisalvi di Speme
-
Kazi ya Guido da Siena
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Cormack, Robin (1997). Painting the Soul; Icons, Death Masks and Shrouds. Reaktion Books, London.
- Vasilakē, Maria. Images of the Mother of God: Perceptions of the Theotokos in Byzantium, p. 196, Ashgate publishing Co, Burlington, Vermont, ISBN|0-7546-3603-8
- Kurpik, Wojciech (2008). "Częstochowska Hodegetria" (kwa Kipolandi, Kiingereza, na Kihungaria). Łódź-Pelplin: Wydawnictwo Konserwatorów Dzieł Sztuki, Wydawnictwo Bernardinum. uk. 302. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2011-03-31.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Byzantium: faith and power (1261-1557), an exhibition catalog from The Metropolitan Museum of Art (fully available online as PDF), which contains many examples of Hodegetria