Nenda kwa yaliyomo

Dekamita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dekamita ni kipimo cha urefu wa mita 10. Kifupi chake ni dam[1].

Kipimo hicho si kawaida sana isipokuwa katika metorolojia ambapo shinikizo la hewa hutajwa mara nyingi kulingana na kimo cha dekamita.[2]

Dekamita kwa mraba ni eneo la "are" moja ambao ni mita 10x10 au m2 100.

  1. Decimal multiples and submultiples of SI units SI Brochure: The International System of Units (SI). 2006. Archived from the original on 2019-03-30. Retrieved 2019-01-14.
  2. lingamisha General information on multiple forecast charts, tovuti ya mamlaka ya hali ya hewa Ujerumani, iliangaliwa Machi 2023
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dekamita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.