1885
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1881 |
1882 |
1883 |
1884 |
1885
| 1886
| 1887
| 1888
| 1889
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1885 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Uhindi: Kuundwa kwa INC (Indian National Congress) kama chama cha kwanza cha kisasa cha kupigania uhuru wa Uhindi.
- 27 Februari - Hati ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani kwa ajili ya mikataba ya Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ni chanzo cha koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 7 Februari - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 1 Agosti - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 15 Agosti - Edna Ferber, mwandishi kutoka Marekani
- 10 Septemba – Carl Van Doren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 7 Oktoba - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)
- 11 Oktoba - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 2 Desemba - George Minot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 13 Januari - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 22 Mei - Victor Hugo, mwandishi maarufu kutoka Ufaransa
- 22 Juni - Muhammad Ahmad ibn Abd Allah aliyeanzisha Dola la Mahdi katika mji wa Omdurman
- 23 Julai - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 25 Novemba - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)
- 30 Machi - Mtakatifu Ludoviko wa Casoria, padri Mfransisko kutoka Italia
Wikimedia Commons ina media kuhusu: