Nenda kwa yaliyomo

Rockin' Robin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Rockin' Robin”
“Rockin' Robin” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Got to Be There
B-side "Love Is Here and Now You're Gone"
Imetolewa 17 Februari 1972
Muundo 7" single
Imerekodiwa Hitsville West, Los Angeles, California
Aina Bubblegum pop/soul

Rock and roll

Urefu 2:50
Studio Motown
Mtunzi Roger Thomas
Mtayarishaji Hal Davis
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Got to be There"
(1971)
"Rockin' Robin"
(1972)
"I Wanna Be Where You Are"
(1972)

"Rockin' Robin" ni wimbo wa mwaka wa 1958 ulioimbwa na Bobby Day. Kwa kipindi hicho wimbo ulitamba sana, na kuwa Na. 2 katika chati za Billboard Hot 100. Wimbo ukaja kuimbwa tena na The Hollies kwenye albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1964 na pia ukaja kutumika tena kama single ya pili ya mwaka wa 1972 iliofanywa na Michael Jackson akiwa bwana mdogo. Kwa miaka hiyo, Jackson alipata nafasi ya pili kwa U.S. pop single.[1]

  1. "24". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-10.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rockin' Robin kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.