Nenda kwa yaliyomo

Oklahoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:37, 22 Aprili 2015 na Magioladitis (majadiliano | michango) (Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} using AWB (10903))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)








Oklahoma
Sooner State

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Oklahoma City
Eneo
 - Jumla 181,035 km²
 - Kavu 177,847 km² 
 - Maji 3,189 km² 
Tovuti:  http://www.ok.gov/

Oklahoma ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Oklahoma City. Imepakana na Kansas, Missouri, Arkansas, Texas, New Mexico (Meksiko Mpya) na Colorado. Idadi ya wakzi wa jimbo lote hufikia watu 3,617,316 wanaokalia eneo la 181,195 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oklahoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.