Massachusetts
Massachusetts Bay State |
|||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Boston | ||
Eneo | |||
- Jumla | 27,336 km² | ||
- Kavu | 20,306 km² | ||
- Maji | 7,031 km² | ||
Tovuti: http://www.mass.gov/ |
Massachusetts ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Boston. Kwa miji mingine, angalia orodha ya miji. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,497,967 (2007) wanaokalia eneo la 27,336 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Vermont, New Hampshire, Rhode Island, Connecticut, na New York. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.
Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Commonwealth of Massachusetts Official Website
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |