26 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 26 Januari ni siku ya ishirini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 339 (340 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1500 – Vicente Yáñez Pinzón ni Mzungu wa kwanza kufika Brazil
Waliozaliwa
hariri- 1497 - Go-Nara, mfalme mkuu wa Japani (1526-1557)
- 1852 - Pierre Brazza, mpelelezi kutoka Italia na Ufaransa
- 1911 - Polykarp Kusch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1955
- 1925 - Paul Newman mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani
- 1958
- Ellen DeGeneres, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- Elluz Peraza, mwigizaji wa filamu kutoka Venezuela
- 1961 - Wayne Gretzky
- 1983 - Gorilla Zoe, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1987 - Sebastian Giovinco, mchezaji mpira kutoka Italia
- 1991 - Conrad George Rutangantevyi, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1979 - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani
- 2020 - Kobe Bryant
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Timotheo na Tito, Theogene, Paula wa Roma, Senofonte, Maria na wanao, Alberiko wa Citeaux, Augustino Erlandsson n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 26 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |