Timotheo
Timotheo (labda Listra, 17 hivi - Efeso, 97) ni mfuasi mpendwa wa Mtume Paulo, halafu mwandamizi wake.
Anaheshimiwa kama askofu mtakatifu na Kanisa Katoliki hasa tarehe 26 Januari[1] na Waorthodoksi tarehe 22 Januari.
Paulo alimuandikia barua mbili zilizopokewa katika Biblia kati ya Nyaraka za Kichungaji. Habari zake tunazipata humo na katika Matendo ya Mitume
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life, Miracles & Martyrdom of St. Timothy, Bishop of the Christian Church Archived 12 Novemba 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timotheo kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |