2023:Usajili
Appearance
Outdated translations are marked like this.
16–19 August 2023, Singapore and Online
Diversity. Collaboration. Future.
Usajili wa Wikimania 2023 sasa umefunguliwa! Jisajili ili ujiunge nasi nchini Singapore au mtandaoni.
Tafadhali rejelea taarifa ya faragha ya usajili.
Wikimania Mtandaoni, pamoja na usajili wenyewe, unafanyika kwenye eventyay—jukwaa huria la programu pepe na tukio mseto.
Iwapo ulipokea ufadhili wa masomo kutoka kwa Wakfu wa Wikimedia au mshirika wa Wikimedia, utapokea barua pepe yenye msimbo wa usajili na maagizo.
Usajili wa kibinafsi utagharimu chakula cha mchana mnamo 16-19 Agosti; chakula cha jioni tarehe 16 na 19 Agosti. Ufikiaji wa WiFi na soketi za nguvu za umeme zitatolewa kwenye ukumbi wa mkutano.