Nenda kwa yaliyomo

kijiko

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
kijiko.

Nomino

[hariri]

kijiko (wingi vijiko)

  1. chombo cha jikoni kinachotumiwa kukulia, kukorogea chai, kupakua au kuchotea kitu

Tafsiri

[hariri]