altare (kidini) meza ya kutolea sadaka ya misa kanisani; madhabahu meza maalumu ya kuadhimisha Ekaristi