Nenda kwa yaliyomo

Zubeen Garg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zubeen Garg (amezaliwa Zubeen Borthakur ; 18 Novemba 1972) ni mwimbaji raia wa India, mkurugenzi wa muziki, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mwandishi wa tamthilia na philanthropist. [1] anafanya kazi na ni ni mwimbaji katika tasnia ya muziki ya Kiassam, Kibengali na Kihindi, lakini ameimba lugha nyingine nyingi na lahaja, pamoja na Bishnupriya Manipuri, Boro, Kiingereza, Goalpariya, Kannada, Karbi, Khasi, Kimalayalam ., Marathi, Mising, Nepali, Odia, Sanskrit, Sindhi, Tamil, Telugu, Tiwa . Pia ni mpiga ala na hucheza ala 12 zikiwemo dhol, dotara, ngoma, gitaa, harmonica, harmonium, mandolini, kinanda, tabla na ala mbalimbali za midundo . Yeye ndiye mwimbaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika Assam. [2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Garg alizaliwa [[Brahmin]] familiya ya [[Tura, Meghalaya]] kwa Mohini Mohon Borthakur na Late Ily Borthakur. Alijulikana kwa jina [[Zubin Mehta]] kabla ya kuwa muhimbaji[3]


  1. "Decoding the stardom of Zubeen Garg – An unpredictable rockstar with a heart of gold- Entertainment News, Firstpost". Firstpost (kwa Kiingereza). 25 Novemba 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 14 Mei 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Barred from singing in Hindi, Assam singer leaves Bihu stage". The Indian Express (kwa Kiingereza). 16 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Parashar, Utpal (29 Julai 2019). "'These Brahmins should be killed,' says Assam singer Zubeen Garg; cases filed". Hindustan Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zubeen Garg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.