Nenda kwa yaliyomo

Zina Hidouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zina Hidouri ni mchezaji wa soka wa zamani nchini Tunisia. Hidouri alicheza kama mshambuliaji na amewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

  1. "Football féminin : Eliminatoires - Championnat d'Afrique « aller » (Guinée Equatoriale 2012)". Maghress (kwa Kifaransa). 16 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zina Hidouri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.