Yakobo wa Sarug
Mandhari
Yakobo wa Sarug (kwa Kiaramu: ܝܥܩܘܒ ܣܪܘܓܝܐ, Yaʿquḇ Sruḡāyâ; Kurtam, leo nchini Uturuki, 451 hivi - Batnan daSrugh, leo nchini Uturuki, 29 Novemba 521) alikuwa askofu wa mji huo, aliyeangaza jimbo lake kwa mafundisho na tafsiri [1].
Mwanateolojia na mshairi pamoja, ni maarufu hasa kwa hotuba zake nyingi (zaidi ya 700) kwa lugha ya Kiaramu ambazo zina umbo la mashairi.
Ndiye mwakilishi muhimu zaidi wa Ukristo wa Kisiria baada ya Efrem wa Syria, akiheshimiwa pamoja naye kama mwalimu na nguzo ya Kanisa.
Kisha kufa akaheshimiwa mara na Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu na babu wa Kanisa.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Mar Jacobus Sarugensis (1905). Paulus Bedjan (mhr.). Homilae selectae Mar-Jacobi Sarugensis (kwa Syriac na French). Paris: Otto Harrassowitz.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Butts, Aaron Michael. 2016. The Christian Arabic transmission of Jacob of Serugh (D. 521): The Sammlungen. Journal of the Canadian Society for Syriac Studies 16:39-59.
- Iacobus Sarugensis (1952). G Olinder (mhr.). Iacobi Sarugensis epistulae quotquot supersunt. Corpus scriptorum Christianorum Orientalium, Scriptores Syri, v. 57. Louvain.
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link) - Schwartz, Daniel L. 2016. Discourses of Religious Violence and Christian Charity: The Christianization of Syria in Jacob of Sarug's On the Fall of the Idols. In Motions of Late Antiquity: Essays on Religion, Politics, and Society in Honour of Peter Brown, edited by Jamie Kreiner and Helmut Reimitz, 129–49. Turnhout, Belgium: Brepols.
- A Homily of Mar Jacob of Serûgh on the Reception of the Holy Mysteries by Dom Hugh Connolly, OSB Ilihifadhiwa 21 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |