Wikipedia ya Kialbania
Mandhari
![]() | |
---|---|
Kisara | http://sq.wikipedia.org/ |
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa kamusi elezo ya internet |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kialbania |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Wikipedia ya Albania (Kialbania: Wikipedia shqip) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kialbania. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 12 Oktoba 2003. Na kwa tar. 22 Aprili 2008, Wikipedia hii imevuka idadi ya makala zaidi ya 20,000[1][2]na ni Wikipedia ya 52 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- "Wikipedia Shqip". Wikipedia (kwa Albanian). Wikimedia Foundation. 2006-05-19. Iliwekwa mnamo 2006-06-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
- Shekulli. Ta shpëtojmë Wikipedian Shqipe. Die, 12 Gus 2007 08:57:00. Nga Ardian Vehbiu Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Tirana Observer. 15 shtetet që dikur ishin Bashkimi Sovjetik. Shkruar nga Blendina Cara e premte , 03 gusht 2007
- Tirana Observer. Epoka e Informacionit, e Skepticizmit dhe e Verifikimit. By Fatos TARIFA, PhD Ilihifadhiwa 6 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo] Wikipedia ya Kialbania ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |