When You Look at Me
Mandhari
“When You Look at Me” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Christina Milian kutoka katika albamu ya Christina Milian | |||||
B-side | "AM to PM" | ||||
Imetolewa | 2002 | ||||
Aina | R&B | ||||
Studio | Def Soul | ||||
Mtunzi | Christina Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio, Henrik Jonback | ||||
Mtayarishaji | Bloodshy & Avant | ||||
Mwenendo wa single za Christina Milian | |||||
|
"When You Look at Me" ni wimbo mwimbaji wa Kimarekani - Christina Milian. Wimbo huu uliandikwa na Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio na Henrik Jonback, na kutayarishwa na Bloodshy a Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada huyu iliyokwenda kwa jina la Christina Milian, iliyotoka kunako mwaka wa 2001.
Wimbo ulitolewa ukiwa kama wa pili kutoka katika albamu hiyo kwa nje ya Marekani, na kuja kuwa kibao mashuhuri kwa nchi ya Australia na Ulaya kwa ujumla, kwa kufikia kumi bora katika Australia, Ubelgiji, Ireland, Uholanzi na Uingereza.
Muundo na orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Huu muundo mzima wa matoleo na orodha ya nyimbo hizi za "When You Look at Me."
- Single za Promosheni
- "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
- Single ya CD kwa ajili ya Ulaya
- "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
- "When You Look at Me" (remix ya Bloodshy)
- "AM to PM" (mchanganyiko mkuu wa Groove Chronicles)
- "When You Look at Me" (video yake)
Charts
[hariri | hariri chanzo]Chart (2001)[1] | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Singles Chart | 7 |
Austrian Singles Chart | 13 |
Belgian (Flanders) Singles Chart | 7 |
Belgian (Wallonia) Singles Chart | 25 |
Danish Singles Chart | 16 |
Dutch Top 40 | 3 |
French Singles Chart | 11 |
German Singles Chart | 13 |
Irish Singles Chart | 5 |
Swedish Singles Chart | 16 |
Swiss Singles Chart | 31 |
UK Singles Chart | 3 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "International Chart Performance". Swisscharts. Iliwekwa mnamo 2008-07-20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]