Taylor Swift
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Taylor Swift | |
---|---|
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Taylor Alison Swift |
Amezaliwa | Desemba 13 1989 |
Aina ya muziki | Country pop |
Kazi yake | Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo |
Ala | Gitaa, piano |
Miaka ya kazi | 2006 – Mpaka sasa |
Studio |
|
Ame/Wameshirikiana na | Miranda Lambert, Kellie Pickler, Danielle Peck, Brad Paisley |
Tovuti | Tovuti Rasmi ya Taylor Swift |
Taylor Alison Swift (amezaliwa 13 Desemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa country-pop nchini Marekani. Alitoa kibao chake cha kwanza, "Tim McGraw", mnamo 2006 akiwa na umri wa miaka 16.
Ameshinda tuzo ya CMT kama “Video Bora ya Mwaka" mnamo 2007 kwa ajili ya wimbo wake wa "Tim McGraw". Pia alishindanishwa kwenye tuzo za Academy of Country Music kama "Mwimbaji Chipukizi wa Kike".
Taylor Swift ni mada ya mvuto mkubwa wa vyombo vya habari na chanzo cha habari nyingi. Akiwa mtu anayependwa sana na pia kuchunguzwa kwa kina, maisha na kazi yake huibua maoni mbalimbali ya umma.
Waandishi na wasomi wamechunguza kiwango kikubwa cha kukubalika kwake kijamii pamoja na mwelekeo wa kuzua mijadala. Thamani ya makadirio ya vyombo vya habari vya bure juu yake inakadiriwa kuwa dola bilioni 130 za Marekani kufikia mwaka 2023.[1]
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Albamu za Studio
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Albamu | US Country | US | CAN Country | CAN |
---|---|---|---|---|---|
2006 | Taylor Swift | 1 | 5 | 1 | 14 |
2008 | Fearless | 1 | 1 | 1 | 1 |
2010 | Speak Now | 1 | 1 | 1 | |
2012 | Red | 1 | 1 | 1 | |
2014 | 1989 | 1 | 1 | ||
2017 | Reputation | 1 | 1 | ||
2019 | Lover | 1 | 1 | ||
2020 | Folklore | 1 | 1 | ||
2020 | Evermore | 1 | 1 | ||
2022 | Midnights | ||||
2024 | The Tortured Poets Department |
Single zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Wimbo | US Country | US Hot 100 | US Pop 100 | US AC | Albamu |
---|---|---|---|---|---|---|
2006 | "Tim McGraw" | 6 | 40 | 43 | – | Taylor Swift |
2007 | "Teardrops on My Guitar" | 2 | 33 | 42 | 5 | |
"Our Song" | 10 | 39 | 58 | – | ||
2008 | "Picture to Burn" | 3 | 28 | 49 | – | |
"Should've Said No" | 1 | 33 | 61 | – | ||
"Love Story" | 1 | 4 | 3 | 2 | Fearless | |
"White Horse" | 1 | 13 | 23 | – |
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]- CMT Music Awards
- 2007, Kuvunja Rekodi ya Video Bora ya Mwaka: Tim McGraw (Ameshinda)
- Academy of Country Music Awards
- 2007, Mwimbaji wa Kike Chipukizi: Ameshindanishwa (Kapotezwa na Miranda Lambert)
- Academy of Country Music Awards
- 2008, Mwimbaji wa Kike Chipukizi (Ameshinda)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Taylor Swift Has Given Fans a Lot. Is It Finally Too Much?", April 22, 2024.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya Taylor Swift
- Taylor Swift katika IMDb
- Taylor Swift katika Instagram
- Taylor Swift katika Twitter
- Taylor Swift katika YouTube
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taylor Swift kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |