Tata Motors
Mandhari
Tata Motors Limited ni kampuni ya magari ya kimataifa kutoka India, yenye makao yake Mumbai na sehemu ya Tata Group.
Kampuni hiyo inatengeneza magari, malori, vani, na mabasi[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tata Motors Market Share". Auto Car Professional. Iliwekwa mnamo 2 Aprili 2019.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tata Motors kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |