Nenda kwa yaliyomo

Solomon Makfan Alabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Solomon Makfan Alabi

Solomon Makfan Alabi (amezaliwa Machi 21, 1988) ni mchezaji nguli wa mpira wa kikapu kutoka Nigeria anayechezea timu ya Fukushima Firebonds ligi B.

Amesoma Florida State University ambapo aliisaidia kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa ACC na katika safari ya mashindano ya NCAA ambapo walishindwa na Gonzaga katika mzunguko wa kwanza. Akiwa na futi 7’1 alikua ni mara mbili ya ACC safu ya ulinzi katika uchaguzi wa timu zote akiwa katika mwaka wake wa kwanza na miaka ya kuendelea. Amecheza soka kabla ya kuanza kucheza mpira wa kikapu akiwa na umri wa miaka 15. [1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Solomon Makfan Alabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.