Shawn Stockman
Mandhari
Shawn Stockman | |
---|---|
Stockman mnamo Januari 2012 | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Shawn Patrick Stockman |
Amezaliwa | 26 Septemba 1972[1] |
Kazi yake |
|
Ala |
|
Miaka ya kazi | 1988–hadi sasa |
Studio | |
Ameshirikiana na | |
Wavuti | boyziimen.com |
Shawn Patrick Stockman[2][3] (amezaliwa 26 Septemba, 1972) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mmoja kati ya wanachama waanzilishi wa kundi zima la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani maarufu kama Boyz II Men.[4] Vilevile aliwahi kuwa jaji katika kipindi cha televisheni maarufu cha The Sing-Off.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Home : Boyz II Men". BoyzIIMen.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-02. Iliwekwa mnamo Aprili 29, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Shawn Stockman Biography". biography. biography.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-02. Iliwekwa mnamo 5/1/2014.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ "Shawn Stockman Biography". biography. tvguide.com. Iliwekwa mnamo 5/1/2014.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ "Shawn Stockman". Boyz II Men Official website. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website
- Shawn Stockman at the Internet Movie Database
- [Shawn Stockman katika Allmusic Shawn Stockman] at Allmusic