Sebastian Koto Khoarai
Mandhari
Sebastian Koto Khoarai, O.M.I. (11 Septemba 1929 – 17 Aprili 2021) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Mohale's Hoek, Lesotho, kuanzia mwaka 1977 hadi 2014. Aliteuliwa kuwa Kardinali mwaka 2016, na alikuwa Kardinali wa kwanza na wa pekee kutoka Lesotho hadi sasa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gomes, Robin (20 Aprili 2021). "Pope's condolences for late Cardinal Khoarai of Lesotho". Vatican News. Iliwekwa mnamo 23 Aprili 2021.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |