Sarmata wa Thebe
Mandhari
Sarmata wa Thebe (alifariki karne ya 4) alikuwa mwanafunzi wa Antoni Mkuu jangwani, halafu abati sehemu za Thebe (Misri) hadi alipouawa na Waarabu[1].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu zamani sana kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 11 Oktoba kila mwaka[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa jangwani
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |