Restituta Joseph
Mandhari
Restituta Joseph Kemi | |
Amezaliwa | 30 Julai 1971 Singida, Tanzania |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mwanariadha |
Restituta Joseph Kemi (alizaliwa Singida, 30 Julai 1971)[1] ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Tanzania.
Alibeba mara mbili bendera ya Tanzania katika hafla za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki majira ya joto mwaka 2000 na 2004.
Alikuwa mshindi wa mbio za Corrida de Langueux mwaka 1997 na 1999[2].
Mashindano ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Inawakilisha Tanzania | |||||
---|---|---|---|---|---|
1998 | World Cross Country Championships | Marrakech, Moroko | ya 5 | Mbio fupi | |
17 | Mbio ndefu | ||||
1999 | World Cross Country Championships | Belfast, Uingereza | ya 5 | Mbio fupi | |
12 | Mbio ndefu | ||||
Mashindano ya Dunia]] | Seville, Hispania | 13 | 10,000 m | ||
2000 | Mashindano ya Dunia ya Nyika | Budapest, Hungaria | 22 | Mbio ndefu | |
10 | Timu | ||||
2001 | Mashindano ya Dunia ya Nyika | Osten, Ubelgiji | 24 | Mbio fupi | |
ya 8 | Timu | ||||
13 | Mbio ndefu | ||||
9 | Timu | ||||
Mashindano ya Dunia ya Nusu Marathon]] | Bristol, Uingereza | 15 | Nusu marathoni | ||
2002 | Michezo ya Kijeshi ya Afrika]] | Nairobi, Kenya | 2 | 5000 m[3] |
Ubora binafsi
[hariri | hariri chanzo]- mita 800 - dak 2:08.31 (1996)
- mita 1500 - 4:10.01 dakika (2001)
- mita 3000 - 8:44.28 dakika (2001)
- mita 5000 - 15:05.33 dakika (2001)
- mita 10,000 - 31:32.02 dakika (1999)
- Nusu marathoni - 1:07:59 dakika (2000)
- Marathon - 2:43:52 dakika (2001)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Restituta JOSEPH KEMI | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
- ↑ https://olympics.com/en/athletes/restituta-joseph
- ↑ Afrika Military Games. GBR Riadha. Ilirejeshwa mnamo 2015-01-30.